iqna

IQNA

mashindano ya qurani
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur'ani ya Bahrain yalihitimishwa Jumatano usiku.
Habari ID: 3478732    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/25

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Misri inaandaa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani kwa wenye vipaji maalumu lengo likiwa ni  kukuza utamaduni wa Kiislamu.
Habari ID: 3478716    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/22

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yanafanyika nchini Rwanda leo Jumapili.
Habari ID: 3478709    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/21

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Mashindano ya 17 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Kanali ya Televisheni ya Al-Kawthar yamemalizika tamati, huku qari wa Iran Ustadh Mostafa Hemmat Qassemi akishinda tuzo ya juu zaidi.
Habari ID: 3478668    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/11

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Washindi wa Awamu ya 3 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Meshkat yamalizika, washindi watajwa na kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3478647    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/07

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Maqari waliofanikiwa kuingia katika awamu ya nusu fainali ya Mashindano ya 17 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Al-Kawthar TV wametangazwa.
Habari ID: 3478646    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/07

Ramadhani
IQNA - Washindi wa Awamu ya 30 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Misri wametunukiwa zawadi katika hafla ya Jumamosi.
Habari ID: 3478644    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/07

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Haram Tukufu ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala hivi karibuni ilihitimisha awamu ya kwanza ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani yajulikanayo kama Tuzo ya Kimataifa ya Al-Ameed ya Kusoma Qur’ani, ambayo yamefanyika katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478612    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01

Mashindano ya Qur'ani
IQNA- Fainali za 24 za Mashindano ya Quran Tukufu Afrika yaliyoandaliwa na Taasisi ya Al Hikma Foundation kwa kushirikisha nchi mbalimbali 22 za Afrika na nje ya Afrika yamefanyika kwa mafanikio katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Tanzania Machi 24, 2024.
Habari ID: 3478590    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/27

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mwakilishi wa Iran katika Mashindano ya 20 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tanzania ameshika nafasi ya tatu.
Habari ID: 3478574    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/25

Mashindano ya Qur;ani
IQNA - Sherehe za kufunga toleo la 27 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Dubai ambayo hujulikana rasmi kama Tuzo la Kimataifa la Qur'ani Tukufu la Dubai (DIHQA) zilifanyika katika mji wa UAE Jumamosi jioni.
Habari ID: 3478565    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/24

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Mji wa Hamburg nchini Ujerumani utakuwa mwenyeji wa Awamu ya 10 ya Mashindano ya Qur'ani ya Ulaya mwezi ujao. Kituo cha Dar-ol-Qur'ani al-Kareem cha Ujerumani kinaandaa hafla hiyo ya Qur'ani.
Habari ID: 3478539    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/19

Mashindano ya Qur'ani
IQNA-Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa zawadi ya Sh milioni 10 kwa washindi wa kitaifa wa mashindano ya kuhifadhi Quran, akiongezea katika zawadi zilizotolewa na wadau wengine ikiwemo nyumba kwa walioshika nafasi za juu katika mashindano hayo.
Habari ID: 3478534    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/18

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Televisheni ya satelaiti ya Al-Thaqalayn imeanza kurusha mashindano yake ya kwanza la kimataifa la usomaji wa Tarteel wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478531    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Duru ya mwisho ya toleo la 27 la Tuzo la Kimataifa la Qur'ani Tukufu la Dubai (DIHQA) inaendelea katika mji huo wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kushirikisha wawakilishi kutoka nchi 70.
Habari ID: 3478517    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/15

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Duru ya mwisho ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani kwa jina la "Qari Bora Duniani" itafanyika mwezi Aprili.
Habari ID: 3478422    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/27

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la 18 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Jordan kwa wanawake yalihitimishwa katika hafla ambayo walioshika nafasi za juu walitangazwa na kutunukiwa.
Habari ID: 3478408    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/24

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Toleo la 18 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Jordan kwa wanawake, yanayojulikana kama "Al-Hashimiya", yalianza Jumamosi huko Amman.
Habari ID: 3478372    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/18

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mashindano ya 18 ya kimataifa ya Qur'ani kwa wanawake ya Jordan yatang'oa nanga katika mji mkuu Amman baadaye leo.
Habari ID: 3478368    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/17

Ukumbi wa Picha
IQNA- Sherehe za ufunguzi wa Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimefanyika leo Alhamisi tarehe 5 Shaaban 1445 Hijria Qamaria sawa na 15 Februari 2024.
Habari ID: 3478358    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/15